Habari za Punde

Sherehe za Ufunguzi wa Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa.

Balozi Begum Taj akiwakaribisha wageni waalikwa Watanzania wanaoishi Nchini Ufaransa wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa uliofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete.
Watanzania wanaoishi Nchini Ufaransa na Wageni waalikwa wakihudhuria sherehe za Uzinduzi wa Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Ufaransa.

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje Mhe Membe wakiwa na Watoto wa Kitanzania wakati wa sherehe hizo.
Waziri wa Mambo ya Nje Mhe Bernad Membe akitowa maelezo ya Ujenzi wa Majengo ya Majengo ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa wakati wa halya ya uzinduzi wa majengo hayo uliofanywa na Rais Kikwete nchini humo.  

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia Wananzania wanaoishi Nchini Ufaransa wakati wa hafla ya uzinduzi wa Majengo ya Ubalozi wa Ufaransa akiwa katika ziara yake nchini humo.




Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania Wanaoishi nchini Ufaransa.wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa.
Rais Kikwete akiwa na wageni waalikwa mbalimbali, katika hafla ya uzinduzi wa majengo hya Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Ufaransa.  
Rais Kikwete akipiga picha na Watanzania Wanaoishi Nchi Ufaransa ikiwa ni kumbukumbu yao kwa kuonana na Rais wao wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Majengo ya Ofisi za Ubalozi Nchini Ufaransa.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi Nchini Ufaransa.  

1 comment:

  1. Ahh!!. Kazi zote za ubalozi munahodhi watanganyika. Sisi wazanzibari mkiani tu. Tumo shengesha tu. Haya hongereni!!.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.