ZENJI REVIEW CLASSES AND
CONSULTANCY
TANGAZO
ZENJI REVIEW CLASSES AND CONSULTANCY (ZRCC) -
INAPENDA KUWATANGAZIA
WANAFUNZI WOTE WANAO JIANDAA NA MITIHANI YA BODI YA UHASIBU (NBAA), IMEANZISHA MADARASA
YA MITIHANI YA BODI YA UHASIBU YAANI CPA (REVIEW CLASSES) AMBAYO INATARAJIWA
KUANZA TAREHE 17/01/2015 KATIKA JENGO LA SHULE YA SEKONDARI MPYA YA
KIEMBESAMAKI MKABALA NA CHUO CHA KIISLAMU NJIA YA KUENDEA UWANJA WA NDEGE WA
ZANZIBAR.
WAHI SASA NAFASI NI CHACHE
ZRCC: TUPO KUFANIKISHA MALENGO
YAKO YA KITAALUMA
AHSANTENI NA KARIBUNI NYOTE,
KWA MAWASILIANO ZAIDI
PIGA SIMU:0773525744
:0777444144
:06586095106
No comments:
Post a Comment