Habari za Punde

TANZANIA KUANZISHA DUKA LA KUDUMU LA BIDHAA ZENYE ASILI YA KITANZANIA NCHINI OMAN

Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia akipata Maelezo kutoka kwa 

Maafisa wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar ( ZSTC) Sabra Shehe na Mussa Abdullah 

wakati Balozi huyo alipofanya ziara ya kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki 

Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa 

Mascut nchini humo
Wasanii wa Fani ya Uchoraji Tanzania Fred Halla na Salum Ameir Muchi wakimkabidhi 

Ua kama zawadi Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia wakati Balozi 

huyo alipofanya ziara ya kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki Maonesho ya 

Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut
Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mbunifu wa Mavazi 

(Designer) Farida Amiri wakati Balozi huyo alipofanya ziara ya kuwatembelea Watanzania 

hao wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea 

katika Mji wa Mascut nchini humo
Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia akitoa nasaha zake kwa 

Wasanii wa Fani ya Uchongaji Tanzania.Kutoka kushoto Iddi Amana, Mwandale 

Mwanyikwa(Big Mama)na Abdulrahman Abdulla mara baada ya Balozi huyo kuwatembelea 

Watanzania hao wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni 

yanayoendelea katika Mji wa Mascut nchini humo

Msanii wa Sanaa ya Ufumaji Bi Mtumwa Omar Bakar akifurahia jambo na 

Balozi waTanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia mara baada ya Balozi huyo 

kuwatembelea Watanzania wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na 

                            Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut
Msanii wa Sanaa ya Mapambo mbalimbali kutoka Tanzania Rahma Juma 

(Kushoto)akifurahia jambo  na Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh 

(kulia) mara baada ya Balozi huyo kuwatembelea Watanzania wanaoshiriki Maonesho ya 

Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut nchini 

humo katikati ni Mshiriki mwingine Masika Mohame
Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia akipata Maelezo kutoka kwa 

Wajasiriamali wa Bidhaa za Viungo mbalimbali ikiwemo Karafuu kutoka kushoto ni Kulthum 

Mohamed na Saumu Abdalla na Mke wa Balozi huyo.Balozi Saleh alifanya ziara ya 


kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na 

Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut
Msanii wa Kuchora Katuni nchini Tanzania Maarufu kama Tingatinga kushoto Mussa               

Suleiman Augosi akipokea nasaha kutoka kwa                                          

Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia..Balozi Saleh alifanya ziara ya 

kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki                 

Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa 

Mascut
Mjasiriamali wa Mavazi mbalimbali ikiwemo ya Kimasai Bi Anna Matinde akitoa ufafanuzi 

wa bidhaa zake kwa Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia.Balozi 

Saleh alifanya ziara ya kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki Maonesho ya 

Kimataifa 

ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascu
  Mjasiriamali wa Mapambo mbalimbali ya ndani Khadija Faraji akitoa ufafanuzi wa bidhaa zake kwa Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia. Katikati ni Mke wa Balozi huyo.Balozi Saleh alifanya ziara ya kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut
Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akibadilishana Mawazo na baadhi 

ya Watanzania Mavazi wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na 

Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut nchini humo kutoka kulia ni Mkuu Msaidizi 

wa Msafara Masha Hussein, Bi Anna Matinde na Mkuu wa mambo ya kiufundi wa Msafara 

Bi Moza Habib. Balozi Salehe alifanya ziara ya kuwatembelea katika Maonesho hayo.
Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh mwenye Koti Jeusi akifurahia 

jambo  na Wapishi wa Mashi ya Kitanzania mara baada ya Balozi huyo kuwatembelea 

Watanzania hao wanaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni 

yanayoendelea katika Mji wa Mascut nchini humo katikati ni Mshiriki mwingine Masika 

Mohamed. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.