Habari za Punde

Wanahabari Pemba wakagua hali ya utalii Wete

 
WAANDISHI wa Habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, wakizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Utalii Wilaya ya Micheweni, Mhe:Dawa Juma Mshindo huko Micheweni Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba.(Picha na Hanifa Salim, Pemba)

 
MJUMBE wa kamati ya Utalii Wilaya ya Micheweni, Said Othman Kombo akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, juu ya hali ya Utalii Wilaya hiyo.(Picha na Hanifa Salim, Pemba)

 
KATIBU wa kikundi cha Ushirika wa kilimo Hgnc Fruit and Spice kilichopo Bwagamoyo Mtambwe, Bakari Mshamata akiwaonyesha waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Zanzibar, moja kati ya miti ya viungo vilivyomo ndani ya shamba lake.(Picha na Hanifa Salim, Pemba)

KATIBU wa kikundi cha Ushirika wa kilimo Hgnc Fruit and Spice kilichopo Bwagamoyo Mtambwe, Bakari Mshamata akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari, juu ya kikundi chake kinachojishuhulisha na ulimaji wa viungo mbali mbali, huko Bwagamoyo Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba.(Picha na Hanifa Salim, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.