Habari za Punde

Watanzania Washiriki Maonesho ya Sanaa Oman.

Wageni mbalimbali wakiingia na kutoka Katika Banda la Watanzania kujione bidhaa za Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
Msanii wa kuchora Fred Halla akifanya sanaa yake ya Uchoraji katika Katika Banda la Watanzania.Fred ni mmoja wa Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
Msanii wa Uchongaji Iddy Amana akiwahudumia wateja katika Banda la Watanzania. Iddy ni mmoja wa Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman. Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman
Mpishi wa Vyakula mbali mbali Haji Omar akiwahudumia wateja wake wanaopenda vyakula vya Kitanzania.Haji ni mmoja wa Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman
Baadhi ya Wateja wa Vyakula vya kitanzania wakila chakula chenye Asili ya Tanzania,Zanzibar (Urojo) katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman
Mkuu wa Msafara wa Watanzania Wanaoshiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa,Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mascut-Oman Bi Khadija Bhatashy akiulizia bei ya bidhaa katika Banda la Iran. Iran ni moja ya nchi washiriki wa Maonesho hayo.
( Picha na Faki Mjaka-Mascut Oman.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.