Habari za Punde

Timu ya CF Mounana Wawasili Zanzibar kwa Mchezo wao wa Marudiano na Timu ya Polisi Jumapili

Wachezaji wa timu ya CF Mounana ya Gabon yawasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume tayari kwa mchezo wao wa marudiano na Timu ya Polisi mchezo unaotarajiwa kufanyika jumapili mwishoni mwa wiki hii, Timu hiyo ya CF Mounana nyumba imeshinda kwa mabao 5--0, Wakipokelewa na Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Mpira Zanzibar ZFA Mwalimu Masoud Attai. wakitoka chumba cha mapokezi uwanjani hapo.
Wachezaji wa Timu ya CF Mounana ya Gaboni wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar leo mchana tayari kwa mchezo wao wa marudiano unaotarajiwa kufanyika jumapili uwanja wa amaan zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.