Habari za Punde

Ufunguzi wa Msikiti Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja.

Msikiti mpya wa Kijiji cha Kiongoni Makunduchi wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja ambao leo umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Msikiti Mpya  wa Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini  Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Mkuu wa Mkoa Kusini Dk.Idriss Muslim Hijja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kuufungua     Msikiti Mpya  wa Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini  Mkoa wa Kusini Unguja na kuanza rasmi shuhuli za Ibada (kulia) Mkuu wa Mkoa Kusini Dk.Idriss Muslim Hijja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kushoto) pamoja na Mashekhe na Viongozi na Waislamu mbali mbali wakiitikia dua iliyoombwa baada ya Swala ya Dhuhuri iliyoongozwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) baada ya ufunguzi wa Msikiti Mpya katika Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini  Mkoa wa Kusini Unguja


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Waislamu wa Kijiji cha Kiongoni Makunduchi Wilaya ya Kusini Unguja baada ya kuufungua Msikiti mpya kijijini hapo leo uliojengwa kwa nguvu za wananchi pamoja na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe, Haroun Ali Suleiman
Mkuu wa Chuo cha Kiislamu Zanzibar Dr.Sheikh Muhidin Siasa akitoa mawaidha baada ya ufunguzi wa Msikiti mpya wa   Kijiji cha Kiongoni Makunduchi  Wilaya ya  Kusini Mkoa wa Kusini Unguja naRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji (kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein azungumze na waislamu baada ya ufunguzi wa Msikiti Mpya katika Kijiji cha Kiongoni Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.