Habari za Punde

Bandari ya Tundauwa hoi bin taaban


IPO haja kwa Tasisi husika kuzifanyia ukarabati bandari mbali mbali, pale zinapoonekana kuanza kuharibika ili kuweza kudumu kwa muda mrefu, pichani bandari ya Tundauwa shehia ya Kilindi ikiwa imeharibika vibaya kama inavyoonekana pichani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.