Habari za Punde

Mandhari ya Harakati katika mitaa ya Darajani jirani na Jumba la Train Zenj ambalo wapangaji tayari wameshaagizwa kuhama mara moja



3 comments:

  1. Maskini Zenjy, Darajani uso Wa mji Wa Zanzibar iko vilevile ki-local !!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unataka iwe ki-international?

      Delete
    2. Sijakusudia kudharau u-local lakini angalau kuwe na mpangilio Wa mambo, stand ya magari , maduka ya bidhaa mbalimbali mabustani yawekwe kimpagilio unaoeleweka na kupendeza mschoni

      Delete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.