Habari za Punde

Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar.

Mwandishi mkongwe wa habari  Zanzibar, Ali Saleh (Alberto) akiwa na wapambe wake waliomshindikiza kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mji Mkongwe katika uchaguzi wa mwaka huu 2015 
 
Mwandishi mkongwe wa habari, Ally Saleh akionesha Fomu yake aliyokabidhiwa leo kwenye Ofisi ya Jimbo Mkunazini
 

Akionesha kadi yake ya uanachama wa CUF

Hapa akiondoka Afisi za Jimbo baada ya kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mkunazini katika Uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu kama atapitishwa na chama chake.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.