Habari za Punde

Dk Bilal aongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la kimataifa kuhusu biashara haramu ya wanyamapori duniani

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal, akiwa na ujumbe wa Tanzania kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo March 25,2015 kwenye Hoteli ya Mowana iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana. kulia Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.

Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Kongamano hilo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.