Tumetoka mbali katika usafiri huku kwete Zenj enzi hizo gari za aina hii zilikuwa zikitowa huduma ya usafiri kwenda Mashamba kama gari hii ikiwa nakwenda njia ya Mchangani kupeleka abiria mashambani. Kama inavyoonekana ikiwa imejaa na baadhi ya abiria kukaa juu ya bodi.
MWANAMKE MMOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA ROLI MBEZI KWA MSUGULI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Mwanamke mmoja amefariki dunia baada ya gari aina ya roli lenye namba ya
usajili T696 CLY kuacha njia na kumgonga mwanamke ...
5 hours ago

0 Comments