MenejaMkuuwaShirika la Ndege la Fastjet
Tanzania Jimmy Kibati akiongea na wandishi wa habari Mkoani Arusha
leo wakati wa uzinduzi wa safari mpya ya ndege ya Fastjet kutoka Kilimanjaro kwenda
Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda, pembeni yake kuliani Lucy
Mbogoro Afisa Mahusianona Masoko na kushoto ni Neema David
Afisa Biashara.
MenejaMkuuwaShirika
la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhitiketi mwandishi wa habari toka
Tbc Sechelela Kongola aliyeshinda zawadi ya tiketi ya bure ya kusafiri kwenda Mwanza
na kurudi Kilimanjaro wakati wa uzinduziwa safari mpya wa shirika hilo toka
Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda hafla hiyo ilifanyika Mkoani
Arusha leo.
Meneja Mkuu wa Shirika la Ndege la Fastjet
Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka gazeti la East
African Business Week ,Elisha
Mayallah aliyeshinda zawadi ya tiketi ya bure ya kusafiri kwenda Mwanza na kurudi
Kilimanjaro wakati wa uzinduzi uliofanyika Mkoani Arusha wa safari
mpya washirika hilo toka Kilimanjaro kwenda Mwanza na Entebe Uganda.
Meneja Mkuu wa Shirika
la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habari toka gazeti
la Jamboleo, Richard Mwangulube aliyeshinda zawadi ya tiketi ya bure ya kusafiri kwenda
Mwanza na kurudi Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa safari mpya washirika hilo toka
Kilimanjaro kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwenda Entebe Uganda hafla hiyo ilifanyika Mkoani
Arusha leo.
Meneja Mkuu wa Shirika
la Ndege la Fastjet Tanzania Jimmy Kibati akimkabidhi tiketi mwandishi wa habar itoka
Radio 5 Linus Kilembu aliyeshinda zawadi y atiketi ya bure ya kusafiri kwenda Mwanza
na kurudi Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa safari mpya za shirika hilo toka
Kilimanjaro kwenda Mwanza na Entebe Uganda hafla hiyo ilifanyika Mkoani Arusha leo.
No comments:
Post a Comment