Mshambuliaji wa timu ya Uganda Prison akiwa na mpira akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao na timu ya Uhamiaji uliofanyika uwanja wa Gmykhana, timu ya Uganda Prison imeshinda 42--30
Mchezaji wa timu ya Uganda Prison akijiandaa kutowa pasi kwa mchezaji mwezeke huku mchezaji wa timu ya Uhamiaji akijiandaa kumzuiya.
Mlinzi wa timu ya Uhamiaji akiokoa mpira golini kwake huku wachezaji wa timu ya Uganda wakiwa wamemzunguka.
Mchezaji wa timu ya Uganda Prison akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Uhamiaji akijiandaa kumzuiya asitowe pasi kwa mwezake wakati wa michuano ya Kombe la Afrika Mashariki inayofanyika katika viwanja vya Gmykhana, timu ya Uganda imeshinda 42--30
Wachezaji wa timu ya Prison na Uhamiaji wakiwania mpira golini kwa timu ya Uhamiaji,
Mchezaji wa timu ya Uhamiaji ya Tanzania akidaka mpira wakati wa mchezo wao na timu ya Prison ya Uganda wakati wa michuano ya Kombe la Afrika Mashariki yanayofanyika katika uwanja wa Gmykhana Zanzibar, timu ya Prison imeshinda 42--30.
Mchezaji wa timu ya Prison ya Uganda akidaka mpira akiwa katika eneo la goli la timu ya Uhamiaji. Timu ya Prison ya Uganda imeshinda 42--30, mchezo uliofabnyika uwanja wa Gmykhana. michuano hiyo inaendelea katika viwanja vya Gmykhana.
Mshambuliaji wa timu ya Prison akidaka mpira golini kwa timu ya Uhamiaji ya Tanzania, Timu ya Uganda Prison imeshinda 42--30.
No comments:
Post a Comment