Habari za Punde

Mkutano wa Siku Mbili wa Nchi za Afrika Kuazisha Mafunzo ya Mafuta na Gesi katika Vyo vya Ufundi Stad

Makamuw wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Gharib Bilal akifungua mkutano wa siku mbili kuhusu jitihada za chi za Afrika za kuanzisha Mafunzo ya Mafuta na Gesi katika you vya Ufundi Stad Mkutano huo  uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julias mwalim Nyerere Jijini Dar es Salaam
 Makamu wa Rrais wa Jamhuri wa ya Muungano waq Tanzania Dkt Muhammed Gharib Bilal akipata maelezo kutoka kwa Mhadhiri wa chuo kikuu Profesa Hudson Nkotagu kuhusu uzalishaji wa Digrii 4 zinazozalishwa chua kikuu cha Dar es Salaam katika Mkutano wa Jitihada za Nchi za afrika za kuzalisha mafuta na Gesi Katia Vyuovya mafunzo Stad iliofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu julias nyerere JIjini Dar es salaam

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Gharib Bilal akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mafunzona ufundi {VETA]Leah Lulinda wakati alipotembelea kwenye banda la veta wakati wa Mkutano wa jitihada ya Nchi za Afrika za Kuanzisha Mafunzo ya Mafuta na Gesi katika Vyuo vya Ufundi Stad Mkutano uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mwelim Nyerere Jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Muhammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Jitihada za Nchi za Afrika
(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.