KATIBU mkuu wa taasisi ya Ijitimai
zanzibar Hafidh Jabiri, akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu kabla ya
kuzinduliwa kwa kamati maandalizi ya Ijitimai ya kitaifa itakayofanyika Juni 5
mwaka huu Ole Markazi kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
AMIRI Ali Khamis akitoa maelekezo juu ya
maandalizi ya Ijitimai ya kitaifa kwa waumini wa dini ya kislamu, kabla ya
kuzinduliwa kwa kamati ya kuandaa maandalizi ya Ijitimai hiyo, huko katika
kiwanja cha Markazi, Ole Kianga.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Mufti wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud
Mussa Wadi, akitoa salamu zake kwa waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria
uzinduzi wa kamati ya Ijitimai ya kitaifa Pemba, huko katika kiwanja cha
Markazi, Ole Kianga.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba,
Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, akizindua
kamati ya maandalizi ya Ijitimai kisiwani Pemba, kwa niaba ya waziri wa Fedha
wa Tanzania Mhe:Saada Salum Mkuya.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment