Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3.
Viongozi wa ZSSF na NSSF wakiwa katika uwanja wa Amaan tayari kwa kwenda kukagua timu hizio kabla ya mchezo wao wa Tamasha la Michezo la OPasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya NSSF imeshinda kwa matuta 4--3.
Kamisaa wa mchezo wa kirafiki kati ya ZSSF na NSSF uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya NSSF
Meneja Rasilimali Watu ZSSF akiwasalimia wachezaji wa timu ya NSSF kabla ya kuaza kwa mchezo huo
Menaja Mahusiano wa NSSF akiwasalimia wachezaji wake kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Bonaza la Pasaka lililofanyika uwanja wa amaani Zanzibar
Meneja Rasilimali Watu ZSSF akiwasalimia wachezaji wa timu ya ZSSF kabla ya kuaza kwa mchezo huoMchezaji wa timu ya NSSF Mzee Mwinyi kimpita beki wa timu ya ZSSF.
Mchezaji wa NSSF akiwania mpira huku beki wa timu ya ZSSF akiwa tayari kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Pasaka uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Golikipa wa Timu ya NSSF akiokoa mpira golini kweke.
Viongozi wa NSSF wakifuatilia mchezo wao wa Bonaza la Pasaka na timu ya ZSSF uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya NSSF imeshinda 4--3
Wachezaji wa timu ya NSSF wakishangilia timu yaoi baada ya kushinda kwa matuta dhidi ya timu ya ZSSF kwa ushindi mabao 4--3
Meneja Mahusiano wa NSSF Bi Eunice Chiume, akiwapongeza wachezaji wa timu yake ya netiboli iliocheza na ZSSF katika viwanja vya Bomani Polisi.
Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Ndg.Makame Mwadini akimkabidhi Kombe wa Ubingwa wa Bonaza Nahodha wa timu ya netiboli ya ZSSF Mwanajuma Waziri baada ya ushindi wao dhidi ya ndugu zao NSSF mchezo uliofanyika viwanja vya Bomani Polisi, Timu ya ZSSF imeshinda 36-- 26
Maofisa wa NSSF wakiwasalimia wachezaji wa ZSSF baada ya mchezo wao kumalizika uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar
Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Makame Mwadini, akizungumza na Wanamichezo wa ZSSF na NSSF, wakati wa Bonaza la Pasaka lililofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Makame Mwadini akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Pasaka Kepteni wa Timu ya NSSF Mzee Mwinyi na kulia Mkurugenzi Rasilimali Wat wa NSSF Bi Chiku Matessa
Meneja Rasilimali Watu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Makame Mwadini akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Bonaza la Pasaka Kepteni wa Timu ya NSSF Mzee Mwinyi na kulia Mkurugenzi Rasilimali Wat wa NSSF Bi Chiku Matessa Meneja Uhusiano NSSF Eunice Chiume
Wachezaji wa timu ya NSSF wakishangilia Ushindi wao dhidi ya timu ya ZSSF ya Zanzibar wakati wa mchezo wa Bonaza la Pasaka uliofanyika uwanja wa Amaan
Wachezaji wa timu ya NSSF wakishangilia Ushindi wao dhidi ya timu ya ZSSF ya Zanzibar wakati wa mchezo wa Bonaza la Pasaka uliofanyika uwanja wa Amaan
No comments:
Post a Comment