Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwasha mwenge wa Uhuru Kitaifa katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma leo(kushoto) Waziri wa Vijana Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa jamii vijana wanawwake na watoto Bi Zainab Mohammed,{Picha na IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Kiongozi wa Mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa Juma Khatib Chum baada ya kuuwasha leo katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma,{Picha na IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoa wa Ruvuma leo kwa ajili ya uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoani humo,[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe,Said Thabit Mwambungu (kushoto) alipowasili Mkoani humo leo kuzindua mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa uliofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma (kulia)Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara ,{Picha na IKulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisimama katika jukwaa maalum kupokea salamu ya vijana wa halaiki mara alipowasili katika Uwanja wa wa Majimaji Songea Mkoa wa Ruvuma leo kuzindua mbio za mwenge wa Uhuru Kitaifa katika (kushoto) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara ,{Picha na IKulu.]
Wananchi wa Mji wa Songea na Vijiji jirani na Mjihuo wakiwa katika uwanja wa Majimaji Mkoa wa Ruvuma kushuhudia uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa uliowashwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ,{Picha na IKulu.]
Innalillaahi wa ina ilsyhu raajiuun
ReplyDeleteHuu ni msiba mkubwa sana.Nini faida yake,wananchi wanalala na njaa,hospitali hskuna madawa,wanafunzi wanakaa chini na kkadhslika.Huu ni ubadhirifu wa fedha za umma, watu wa mahesabu watuambie ni kiasi gani zimetumika hapo na ndio maana wananchi wanakamuliwa kuchangia hizo mbio za mwenge.Tunausherehekea moto badala ya kuukimbia.Ya rabbi tustiri na utuepeshe na moto.Amin
Hatakule kwetu chokocho twawasha mwenge ukiingia tuu nsimu wa embe , je amii nasisi pamoja na wee wetu hapa kwetu twauabudu mutio? yahe mbona hvi twantia matatizoni baba wa mwenzetu ilhali nasisi twauwasha
Delete