Habari za Punde

JKU Yashindwa kuitambia Polisi Kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Kuambulia Kipigi cha bao 1--0

Mshambuliaji wa timu ya Polisi akimpita beki wa Timu ya JKU wakati wa mchezo wa mwisho kutafuta Bingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Polisi imeshinda bao 1--0. Na kuikoshesha Ubingwa Timu ya JKU kwa kuifunga katika mchezo huo 
                               Wachezaji wa timu ya JKU na Polisi wakiwania mpira.
                Mshambuliaji wa timu ya JKU akiwa na mpira akiwapita wachezaji wa Polisi.
Mchezaji wa timu ya JKU akiondoa mpira golini kwake huku mchezaji wa timu ya Polisi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa mwisho wa timu hizo uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Polisi imeshinda bao 1--0






Mchezaji wa timu ya JKU akimpita beki wa timu ya Polisi wakati wa mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa Timu ya Polisi na JKU wakipongezana baada ya mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Polishi imeshinda bao 1--0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.