Habari za Punde

Dkt Bilal Awafariji Wafiwa wa Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita na Dkt. Robert Ntakamulenga, Mkurugenzi wa Mazingira.[NEMC]

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akitia saini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha ,Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Nyumbani kwa Marehemu Changmbe Jijini Dar es Salaam jana
 Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib  Bilal akiwafariji  watoto wa Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita alipokwenda Nyumbani kwa Marehemu Changombe Jijini Dar es salaam Jana 
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib  Bilal akiwafariji  watoto wa Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita alipokwenda Nyumbani kwa Marehemu Changombe Jijini Dar es salaam Jana aliyekaa Bw Mbita hashim naliyesimama  Iddi Hashim Mbita
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib, akitia saini kitabu cha maombolezi cha Marehemu Robert Ntakamulenga liyekua  Mkurugenzi wa Mazingira {NEMC]  Nyumbani kwake Kimara Jijini Dar es salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilali akisalimiana na watoto wa Maerehemu Robert Ntakamulenga aliyekua  Mkurugenzi wa Mazingira {NEMC]  Nyumbani kwake Kimara Jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.