Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ wakiwa katika bandari ya Zanzibar wakisubiri kuupokea mwili wa Marehemu Juma Ali Khamis, aliyefariki Nchini Congo akiwa katika Jeshi la UN Kulinda Amani Nchini Congo,
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakiwa wameubeka mwili wa marehemu Juma Ali Khamis uliowasili kwa Boti ya Kampuni ya Azam Marini Kilimanjaro 4, Unatarajiwa kuzikwa leo huko Kijiji kwao Dimani Wilaya ya Magharibu Unguja.
No comments:
Post a Comment