Habari za Punde

Timu ya Mafunzo Yaibuka Bingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt kwa Msimu 2015-2016



Mchezaji wa timu ya Mafunzo mwenye mpira akiwatoka mabeki wa timu ya Miembeni wakati wa mchezo wao wa mwisho kuamua Bingwa wa Zanzibar uliofanyika usiku jana uwanja wa Amaan. Timu hizo zimetoka sare ya mabao 1--1, Na timu ya Mafunzo kuibuka kidedea kwa ushindi huo na kuwa Bingwa kwa Mwaka wa 2015-2016.
Mchezaji wa timu ya Mafunzo na Miembeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao huo, uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu hizo zimetoka sare bao 1--1
            Mshambuliaji wa timu ya miembeni Banda akiwapita mabeki wa timu ya Mafunzo.
Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akimpita beki wa timu ya Miembeni wakati wa mchezo wao wa mwisho uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.