Kikosi cha Timu ya Basketi Ball Wanawake JKU, iliyotoka na ushindi wa Vikapu 60-40 katika Mchezo wa kutafuta Bingwa wa Zanlink Basketi Ball Unguja mchewzo uliofanyika viwanja vya maisara Zanzibar.
Mchezaji wa timu yac JKU akiwa na mpira wakati wa mchezo wao kutafuta bingwa wa Basketi Ball kanda ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment