Habari za Punde

Mmiliki wa Kampuni ya JAK Enterprise Alalamikia Kuzuiya kwa Boti yake.Royal 2.

Mmiliki wa Meli za Royal 1na 2 na meli za Mizigo za Happy na Mubarak Ndg Khamis Rashid Khamis akizungumza na waandishi wa habari kuhusiano na kuzuiliwa kwa meli yake ya Royal 2 kwa muda mrefu baada ya kuinunua, Meli hiyo ameifanyika matengenezo makubwa na kumalizika kwake bila ya kutowa huduma baada ya kuzuiliwa na kampuni kupata asara kutokana kukaa kwa muda mrefu.  
Waandishi wa habari wakifuatilia maelezo ya Mmiliki wa Meli za Royal wakati akitowa maelezo kwa kuzuiya kwa meli hiyo sasa kwa muda mrefu, mazungumzo hayo yamefanyika kati ofisa za kampuni hiyo malindi Zanzibar.
Mkurugenzi wa Kampuni yac JAK Enterprise, inayomiliki meli nne za mizigo na abiria, Ndg Khamis Rashid Khamis akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar.

7 comments:

 1. Nini sababu ya kuzuiliwa kwa boti hio?

  ReplyDelete
 2. Mameli yako ni mabovu usitafute kutaka kuuwa watu

  ReplyDelete
 3. Mameli mabovu hebu tuletee hizo zako zilizokuwa nzma mbna wazanzibar tunachoyo na wivu hatuu appreciate kitu ndomana cku zte tuko nyuma kimaendeleo

  ReplyDelete
 4. Mameli mabovu hebu tuletee hizo zako zilizo nzima mbna wazanzibar tunachuki na uhasa c meli tu zinazokuwa hadi vyakula na ndomana maradhi ya figo yameenea au unadhan ni mameli tu hebu tuachi chuki zisizo sababu na husda sisi wazanzibar ndomana hatupati maendeleo

  ReplyDelete
 5. Sababu ya meli hii kuzuiwa hii meli iliuzwa na mahakama kwa mnada na bwana khamis rashid akainunua kwa njia halali akaifanyia matengenezo makubwa ambayo yanaharimu billion 1 ilipomalizika akafuata sheria za kuibadilisha jina baada ya mv sepideh na kuita royal 2 akawaomba watu wa zma zanzibar maritime authority waje waikague ili watoe kibali ndio wkamwambia kama mahakama imezuia meli hii isifanye kazi jeee kwann mahakama wakaiuza meli hiii na mahakama hao hao ndo waloiuza kuna mchezo gani unachezwa tusihadaike na dunia ndugu mawakili na majaji dunia ni mapito na ogopen rushwa na punguzeni tamaa mtendea mwenzake ubaya malipo ni hapa hapa dunia.

  ReplyDelete
 6. Sababu ya meli hii kuzuiwa hii meli iliuzwa na mahakama kwa mnada na bwana khamis rashid akainunua kwa njia halali akaifanyia matengenezo makubwa ambayo yanaharimu billion 1 ilipomalizika akafuata sheria za kuibadilisha jina baada ya mv sepideh na kuita royal 2 akawaomba watu wa zma zanzibar maritime authority waje waikague ili watoe kibali ndio wkamwambia kama mahakama imezuia meli hii isifanye kazi jeee kwann mahakama wakaiuza meli hiii na mahakama hao hao wazuie kuna mchezo gani unachezwa tusihadaike ndugu majaji na mahakimu tuogope rushwa na tamaa tukumbuke ukimtendea mwenzako ubaya jua utakurudia mwenyewo na dunia ni mapito

  ReplyDelete
 7. It is literally shameful to see our government which is so claiming to be a democratic government that it violate its own law. This boat was bought under a legitimate way and there is actually no legal reason of suspending it from operating. We should not forget that this life is temporary and every good and bad that you do will actually be accounted during the day of the day no matter how small it is or big it is.

  ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.