Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Aweka Jiwe la Msingi Jengo Jipya la Ofisi za Posta (TTCL), Pemba.

JENGO la afisi na huduma kwa wateja la Kampuni ya simu ya TTCL liliopo Madungu mjini Chake chake Pemba, ambalo Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania dk: Mohamed Gharib Bilali, ameliwekea jiwe la msingi 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi  Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, wakati alipowasili Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo  Julai 3, 2015 kwa ajili ya Kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi za shirika hilo. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania, TTCL, wakati alipowasili kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya  la Ofisi za Shirika hilo Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Julai 3,2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu ramani ya Jengo hilo la TTCL, kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi ya 'Quality Buildin Contractors Ltd', Khamis Ally Shaibu,  wakati wa hafla fupi ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Jengo jipya la Ofisi ya TTCL,  iliyofanyika leo Julai 3, 2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa 
                  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa,akizungumza.

                Mkurugenzi  Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, akizungumza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, Wilayani Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba, leo Julai 3, 2015
BAADHI ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL, wakimjuika na wananchi wa Pemba, kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la afisi ya kampuni hiyo, liliolopo Madungu mjini Chake chake kisiwani humo
VIONGOZI Wakuu wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kisiwani Pemba, ambapo wa kwanza ni mkuu wa mkoa wa kusini Pemba Mhe: Mwanajuma Majid Abdalla akiwa na mkuu wa mkoa mwenzake wa Kaskazini Mhe: Omar Khamis Othman wakifuatia kwa karibu utenzi ulioghaniwa kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la afisi ya TTCL Pemba
 BAADHI ya wananchi na wafanyakazi wa serikali waliohudhuria kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la afisi ya kampuni ya simu ya TTCL, liliolopo Madungu mjini Chake chake kisiwani humo, wakimskiliza Makamu wa rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania dk: Mohamed Gharib Bilali, kwenye hafla hiyo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.