Habari za Punde

Rais afanya Mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa COMORO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na   Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano kutoka Comoro Abdoulkarim wa  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo na Rais,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano kutoka Comoro Abdoulkarim wa  Mohamed alipofika Ikulu Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.