Habari za Punde

Dk Shein anguruma Kibanda Maiti baada ya kuchukua fomu za kugombea Urais kupitia CCM

 Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM Taifa Khadija Aboud akisoma ratiba ya mkutano wa hadhara wa CCM Kibanda maiti Zanzibar   
Maelfu ya Wananchi na wanaCCM wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao katika mkutano wa hadhara uliofanyikaviwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza  na Wananchi na WanaCCM  katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza  na Wananchi na WanaCCM  katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar
Maelfu ya WanaCCM na Wapenda amani wakimuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCMZanzibar Dk.Shein akizungumza na wananchi na wanaCCM katika Mkutano wa Hadhara Kibandamaiti Mjini Zanzibar




1 comment:

  1. Wz'abri tukishindwa kuitumia miaka hii 10 ta utawala wa Dr. shein kujiletea maendeleo, basi huko mbeleni inaweza ikawa vigumu sana.

    Huyu jamaa ana sifa ambazo ni vigumu kidogo kumpata kiongozi ambae anazo:

    - Kwanza, jamaa ni muadilifu sana ktk suala la mali za watu na za serikali. Huwezi kusikia kiwanja fulani, au jengo fulani au shamba limechukuliwa na Dr. shein au familia yake

    -Pili, Huwezi kusikia: katibu mkuu, mkurugenzi, waziri au naibu waziri ktk smz, ambae ni ndugu wa karibu na Dr. shein na ikitokea basi alikuwemo kabla yeye hajaingia madarakani.

    Ndio maana kuna baadhi ya wadau hata ndani ya ccm-z'bar wanamkubali kwa shingo upande na kwa kua tu aliteuliwa kutoka "kuumeni" (Bara) lkn. wanatamani kama kesho amalize muda wake waanze "nyamnyam" na kuweka ndugu zao madarakani, wengine hawana hisia ukiwaweka kesho watahakikisha mpaka Mwl. mkuu wa skuli anatoka shamba kwao!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.