Habari za Punde

Jengo la Ofisi ya Wizara ya Fedha na Uchumi Pemba

 JENGO la Ofisi ya Wizara ya Fedha na Uchumi Pemba, ambalo ujenzi wake haukufikia mwisho baada ya ukuta wa nyuma wa jengo hilo kuinama, huku likiwa limeekewa nguzo kuzuwia ukuta huo ili lisianguke. Jengo hili limegharimu mamilioni ya fedha, likiwa karibu na Ofisi ya ZSSF Tibirinzi Chake Chake.(Picha na Mwandishi Wetu, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.