Meneja wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari
kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la
Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women
Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).wa
kwanza kushoto ni Meneja Msaidizi wa Mfuko huo Bi Matilda
Nyallu

Meneja
wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kutoka
Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe (katikati) akimfafanulia jambo
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi katika Kongamano la
Wajasiriamali Wanawake nchini kabla ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of Women
Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam

Wafanyakazi
wa Mfuko waMfuko wa Pensheni wa PSPF wakiwa katika Banda la Mfuko huo wakatikatika
Kongamano la Wajasiriamali Wanawake nchinikabla yauzinduzi wa Kampuni ya Voice
of Women Entrepreneures Tanzania (VoWET) uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
(jana), wa kwanza kulia ni Meneja wa Mpango wa
Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe

Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi akizindua Kampuni ya Voice of Women
Entrepreneures Tanzania (VoWET) katika Kongamano la Wanawake Wajasiriamali
nchini lililofanyika jijini Dar es Salaam, kushoto ni Rais wa VoWET nchini Bi.
Mahida Waziri

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald
Mengi akimlisha keki Rais wa VoWET nchini Bi. Mahida Waziri katika Kongamano la
Wanawake Wajasiriamali nchini mara baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Voice of
Women Entrepreneures Tanzania. (Picha na
Benjamin Sawe)
No comments:
Post a Comment