Habari za Punde

ADC wafanya mkutano wa Kampeni jimbo la Mkoani


 WANANCHI wa Ngombeni Jimbo la Mkoani wakimsikiliza kwa makini Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, wakati alipokuwa akuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na wanachama wa chama hicho wakati wa mkutano wa hadhara wa kuwanadi wagombea wa Jimbo la Mkoani, huko katika uwanja wa Ngombeni Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akiwaonyesha wananchi wa Ngombeni Jimbo la Mkoani Mfano wa karatasi ya kupigia kura ya urais wa Zanzibar, wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
 MGOMBEA Urasi wa Zanzibar kwa Tiketi ya ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akimnadi mgombea ubunge jimbo la Mkoani Alawi Said Khamis, wakati wa Mkutano wa hadhara katika uwanja wa Ngombeni Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)

 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akimnadi mgombea uwakilishi jimbo la Mkoani Mwajuma Mgwali Makame, wakati wa Mkutano wa hadhara wa chama hicho katika uwanja wa ngombeni Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akimnadi mgombea uwakilishi jimbo la Mkoani Mwajuma Mgwali Makame, wakati wa Mkutano wa hadhara wa chama hicho katika uwanja wa ngombeni Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)

 MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akimnadi Mgombea udiwani wadi ya ngombeani Zainab Ali Salim, wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho katika uwanja wa mgogoni Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ADC Mhe:Hamad Rashid Mohamed, akiziungumza na waandishi wa habari kutoka ZBC TV Khamis Khatib na Redio Jamii Mkoani Shaib Kifaya, mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Ngombeni Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman,PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.