Habari za Punde

Balozi Seif awapokea vijana 38 waliohama CUF

Katibu wa Maskani ya CCM Wengi Sihoja kinyikani Wilaya ya Wete, Ndg.Hamad Khatib Salim akisoma risala ya vijana wenzake 38 waliojiunga na CCM kutoka CUF, Mbele ya Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, wakati alipokwenda kuwapokea vijana hao.

Katibu wa CCM Mkoa wa kaskazini Pemba Khadija Gulam Abdi, akizungumza na vijana waliojiunga na CCM kutoka CUF huko kinyikani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe:Mberwa Hamad Mberwa, akizungumza katika maskani ya Wengi sihoja Kinyikani Wilaya ya Wete 
 Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe:Balozi Seif Ali Iddi,akiwapokea na kuzungumza nao Vijana 38 wa kinyikani waliokihama chama cha CUF na kujiunga na CCM, huko katika maskani ya wengi sihoja kinyikani Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba.

VIJANA 38 wa kijiji cha kinyikani Wilaya ya Wete, waliotoka chama cha CUF na kujiunga na chama cha Mapinduzi  (CCM), wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa Kamati Kuu ya  CCM Taifa, Mhe:Balozi Seif Ali Iddi wakati alipokuwa  akizungumza na vijana hao katika maskani ya Wengi sihoja Kinyikani.
(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.