Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mark Chiidress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana na Rais,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Marekani katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mark Chiidress baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Sweden katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Katarina Rangnitt alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya mazungumzo na Rais,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Sweden katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Katarina Rangnitt alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana na Rais,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Sweden katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi.Katarina Rangnitt mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment