Habari za Punde

Lowassa afanya mkutano Geita , jimbo la Busanda asimikwa uchifu wa Wasukuma

 
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni leo Geita
Wazee wamsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa Uchifu wa Wasukuma leo




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.