Habari za Punde

Mafunzo ya siku moja yalioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania

KATIBU Tawala Mkoa wa Kusini Pemba, Amed Khalid akifungua mafunzo ya siku moja ya utatuzi wa kauli za chuki, yalioyatarishwa na Baraza la Habari Tanzania MCT afisi ya Zanzibar, na kufanyika uwanja wa Gombani Chake chake, kulia ni Meneja wa redio jamii Mkoani Ali Abass Omar na kushoto ni Mtaribu wa ZLSC Pemba, Fatma Khamis Hemed, (Picha na Haji Nassor, Pemba). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.