Habari za Punde

Mkutano wa kampeni za CCM jimbo la Mtambwe leo


 Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika kijiji cha Makoongeni Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazzini Pemba mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

 Baadhi ya Wananchama wa CCM wakiwa wameshikilia mabango yanayotoa ujumbe "KUBADILI CHAMA SIO KURTADI NA VYAMA HAVIMTII MTU PEPONI YUSEMANE"katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo katika kijiji cha Makoongeni Jimbo la Mtambwe Kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Wananchi wa Chama cha Mapinduzi CCM  Jimbo la Mtambwe wakisikiliza sera za Chama cha Mapinduzi zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika  kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,[Picha na Ikulu.] 

  Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa  CCM na Balozi Ali Karume akiwasalimia wananchi na wanachama wa Chama cha   Mapinduzi CCM wa Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kijiji cha Makoongeni Mkoa wa Kaskazini Pemba,[picha na Ikulu.
 Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika kijiji cha Makoongeni Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazzini Pemba mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe: dk Ali Mohamed Shein akiwanadi wagombea uwakilishi wa majimbo matano ya wilaya ya Wete, kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa chama hicho uliofanyika Makongeni Jimbo la Mtambwe wilani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na wanaCCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni Jimbo la Mtambwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika Kijiji cha Makoongeni,[Picha na Ikulu.]

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kakskazini Pemba Mzee Mberwa Hamadi Mberwa wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo jimbo la Mtambwe,[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali  Iddi wakati alipowasili katika kijiji cha Mkoongeni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo jimbo la Mtambwe,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM NEC na Viongozi wengine wakiwa katika Mkutano wa Hadhara wa kampeni za Uchaguzi uliofanyika leo katika jimbo la Mtambwe kijiji cha Mkoongeni,[Picha na Ikulu.]


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwatambulisha wagombe Ubunge katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo kijiji cha Makoongeni Wilaya ya Wete Pemba katika Jimbo la Mtambwe pia kuwaombea Kura Rais wa Jamhuri ya Muungano na Mgombea Mwenza,[Picha na Ikulu.]








No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.