Mgeni rasmi katika Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Kiembesamaki Balozi Amina Salum Ali akizungumza na wanachama na wapenzi wa Chama hicho na kuwaomba kuwachagua wagombea wa CCM tarehe 25 mwezi huu.
Baadhi ya wanachama na wapenzi wa CCM wa Jimbo la Kiembesamaki wakiwasikiliza viongozi wao kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Mombasa.
Balozi Amina Salum Ali akiwatambulisha wagombea wa CCM Jimbo la Kiembesamaki, (kulia) Mahmopud Thabit Kombo Mgombea Uwakilishi na Ibrahim Raza Mgombea Ubunge.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Mahmoud Thabit Kombo akiwaonyesha wanachama na wapenzi wa Chama hicho mfano wa karatasi ya kupiga kura kwa nafasi ya Rais wa Zanzibar katika mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Mombasa.
No comments:
Post a Comment