Habari za Punde

Tasaf Pemba yakabidhi malipo kwa wanakaya


MWEZESHAJI kutoka TASAF Pemba Dukani Abushiri akitoa ufafanuzi wa malipo kwa wanakaya masikini katika shehia ya Bopwe Wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAANDISHI wa Habari Kutoka Vyombo mbali mbali vya habari Kisiwani Pemba, wakizungumza na mwanakaya masikini mara baada ya kupatiwa malipo yake na TASAF huko katika shehia ya Bopwe Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWANAKAYA masikini katika shehia ya Jadida Wete Kisiwani Pemba, akihesabu fedha zake mara baada ya kupatiwa na TASAF wakati wa malipo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAWEZESHAJI wa TASAF kisiwani Pemba, wakijadiliana mambo wakati wa malipo kwa wanakaya masikini huko katika shehia ya Jadida Wete Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

MWANAKAYA masikini kisiwani Pemba, akipokea fedha zake kutoka kwa watendaji wa Tasaf wa kaya masikini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWANAKAYA masikini kisiwani Pemba, akipokea fedha zake kutoka kwa watendaji wa Tasaf wa kaya masikini.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.