Habari za Punde

Uwekaji Lami kwa ajili ya 'Tartan' Uwanja wa Gombani




Uwekaji wa Lami awamu ya mwanzo katika Kiwanja cha Michezo cha Gombani kwa ajili ya uwekaji wa Mpira wa Kukimbilia (TATAN), umufikia hatuwa hii na awamu ya pili na ya mwisho kwa mujibu wa Msaidizi Mkandarasi wa Kiwanja hicho cha Michezo Gombani Pemba,Elimeka Shuma,utanza wiki inayokuja .

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.