Habari za Punde

Mahafali ya Sherehe ya Skuli ya Farouk Aktas Muslim School Zanzibar

Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Msingi Zanzibar Ahmed Abdulmajid akitoa hotuba kwa Wazazi na Wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School baada ya kumaliza sherehe zao katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wazazi waliohudhuria katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
Wanafunzi Zawadi Saidi kulia na Shufaa makame wakisoma Utenzi katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
Mwanafunzi Aisha Khamis akisoma Risala katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School wakionyesha mavazi ya kiarabu katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
Wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School wakionyesha mavazi la Kizanzibari katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
Wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School wakionyesha mavazi ya kimasai  katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
 Wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School wakionyesha mavazi ya Komoro  katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
 Wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School wakionyesha mavazi ya Kihindi  katika Mahafali ya Sherehe za Farouk Aktas Muslim School iliofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar. 
Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Msingi Zanzibar Ahmed Abdulmajid akiwapa vyeti wanafunzi wa Farouk Aktas Muslim School baada ya kumaliza Sherehe zao zilizofanyika katika ukumbi wa Taasisi ya kiswahili (SUZA)mjini Zanzibar.
(Picha na Yussuf Simai Maelezo)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.