Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Mtende na Polisi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Polisi Imeshinda 2--0.


Beki wa Timu ya Mtende akiokoa mpira golini kwake huku kipa wa timu hiyo akiwa tayari kutowa msaada wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Polisi imeshinda bao 2--0.
Mchezaji wa Timu ya Polisi na Mtende wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Beki wa Timu ya Mtenda akipata huduma ya kwanza baada ya kuumia wakati akiwa katika harakati za kuokoa mpira golini kwao.
Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akimiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Polisi imeshinda 2--0.
Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akiwapita Mabeki wa Timu ya Mtende.
Mshambuliaji wa Timu ya Polisi akiwapita mabeki wa Timu ya Mtende wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Polisi imeshinda 2--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.