Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Zimamoto na JKU tIMU YA jku Imeshinda bao 1--0.


 Mchezaji wa timu ya JKU na Zimamoto wakiwania mpira 
Mchezaji wa timu ya Zimamoto akiwa na mpira akimpita beki wa timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kocha Mkuu wa Timu ya JKU Malale Hamsini akiwa  uwanja akitowa maelekezo kwa timu yake wakati ikicheza na Timu ya Zimamoto katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar timu yake imeshinda bao 1--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.