Wednesday, December 23, 2015

Maandalizi ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S A.W) Katika Viwanja vya Maisara asubuhi Hii.

 Maandalizi ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) katika viwanja vya Maisara kwa ajili ya maulidi hayo yanayotarajiwa kufanyika usiku huu katika viwanja vya Maisara Zanzibar.