Habari za Punde

Mahafali ya kumi na tatu Chuo Kikuu cha Zanzibar ( Zanzibar University) Tunguu

 Viongozi mbali mbali wa Serikali na waalimu wakiwa katika sherehe za mahfali ya Kumi na tatu katika Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo Chuoni hapo,[Picha na Ikulu.]
 Wazee, ndugu na jamaa wa wahitimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu chuoni hapo leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Wananchi waliohudhuria katika sherehe za mahfali ya Kumi na tatu katika Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja yaliyofanyika leo Chuoni hapo, wakishuhudia ndugu zao na watoto wao wakitunukiwa Shahada, Vyeti na Digirii katika sherehe hizo,[Picha na Ikulu.]

 baadhi ya wahitimu wa shahada ya biashara Hesabu na Fedha wakiwa katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu chuoni hapo leo,walipotunukuwa mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

 Baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Uzamili katika Utawala na Biashara Chuo Kikuu cha Tunguu Zanzibar wakiwa mstari  wakati wa kutunukiwa shada zao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani akiwa mgeni rasmi katika mahfali ya kumi na tatu Chuoni hapo leo Tunguu wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara  mwanafunzi Jaha Haji Khamis katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Biashara  mwanafunzi Marium Hamad Maulid katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Cheti na zawadi ya fedha taslim mwanafunzi bora wa Sheria Wahabi Paisson Shaibu kutoka Malawi  katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi cheti na zawadi Mwalimu Dr.Sowed Juma Mayanya kutoka Uganda katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi cheti cha kutunukiwa Phd,Dkt.Mohamed Abdullah Hashim kwa mchango wake katika sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu yaliyofanyika leo chuoni hapo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Tunguu,pia Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Prof.Suleiman Bin- Nassry Basahal wakati wa sherehe ya Mahfali  ya kumi na tatu iliyofanyika leo chuoni hapo,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana Viongozi wa Chuo Kikuu cha Tunguu Zanzibar alipohudhuria katika mahfali ya kumi na tatu Chuoni hapo leo Tunguu wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.