MABWAWA ya uzalishaji Chumvi yaliopo Pujini
Mkamandume wilaya ya Chakechake, ambapo yakiwa hayajatayarishwa kwa ajili ya
kilimo hicho baada ya kuvunwa hivi karibuni, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
WATOTO ambao wahakupatikana majina yao,
wakipakia chumvi kwenye baiskeli, inayozalishwa kwenye mabwawa yaliopo Pujini
Mkamandume wilaya ya Chakechake Pemba, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment