Habari za Punde

RAIS MAGUFULI AONANA NA MJUMBE MAALUMU WA RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA NA MABALOZI WA USWISI NA KUWAIT

Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na balozi wa Kuwait  hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza  na balozi wa Kuwait  hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  balozi wa Kuwait  hapa nchini Mhe. Jasem Al Najem baada ya kuwa na mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Mjumbe Maalum wa Rais Paul Kagame wa Rwanda ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Louise Mushikwabo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015. Nyuma yao ni Balozi wa Rwanda nchini
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe.  Florence Tinguely Ikulu jijini
 Dar es salaam leo 
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe.  Florence Tinguely Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na balozi wa Uswisi hapa nchini Mhe. Florence Tinguely baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Disemba 23, 2015

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.