MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, December 31, 2015

Uimarishaji wa Miundombinu ya Barabara Zenj.

Burudoza la Idara ya Utunzaji wa Barabara Zanzibar likiweka sawa kifusi katika uimarishaji wa miundombinu ya barabara katika barabara ya mwanakwqerekwe Zanzibar.

Gari ya Idara ya Utuzaji wa Barabara Zanzibar likiwa kazini katika harakati za kusambaza kifusi katima moja ya barabara za Zenj maeneo ya Mwanakwerekwe