Habari za Punde

ZLSC Pemba ipo karibu na wanahabari

WATENDAJI waliowengi wamekuwa wasugu kuzungumza na waandishi wa habari, lakini kwa waliopo Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wamekuwa wakiwakaribisha waandishi ambapo Afisa Mipango wa Kituo hicho Khalfan Amour Mohamed, akizungumza na waandishi wa habri kutoka kituo cha ZENJ FM kulia Radhia Abdalla na Habiba Zarali kutoka Gazeti la Zanzibar leo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.