Habari za Punde

Dk Shein mgeni rasmi katika Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza Matembezi ya wanamichezo katika Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo kwa kuwanzia  Uwanja wa  Tumbaku Mjini Unguja na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium,[Picha na Ikulu.] 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza Matembezi ya wanamichezo katika Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo kwa kuwanzia  Uwanja wa  Tumbaku Mjini Unguja na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanamichezo wa Vikundi mbali mbali kama ishara ya kuyapokea maandamano ya vikundi hivyo katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa lililofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]


 Wanamichezo wa Vikundi vya mazoezi wakipita mbele ya jukwaa kubwa Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika   kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

 Wamamichezo wa Vikundi vya mazoezi wakipita mbele ya jukwaa kubwa Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika   kilele cha matembezi ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
 Wanakikundi cha Amakweli Fitness Club ya Welezo Grinada wakibeba bango la Chama cha Mchezo wa Maziezi ya Vuingo Zanzibar (ZABESA) linalosema "JIKINGE DHIDI YA MARADHI YA KISUKARI PRESHA NA SARATANI KWA KUFANYA MAZOEZI"wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]

 Kikundi cha Mazoezi Mwera Fitness Club kikipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi wakati wa Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.

 Kikundi cha Mazoezi Chumbuni Studio  kikipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi wakati wa Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
 Kikundi cha Mazoezi kutoka Kisiwani Pemba kikipita mbele mbele  ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipoyapokea matembezi  ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.[Picha na Ikulu.]
 Kikundi kutoka Dar es Salaam ni miongoni mwa vikundi vilivyojumuika katika matembezi ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na Ikulu.] 
 Kikundi kutoka Dar es Salaam ni miongoni mwa vikundi vilivyojumuika katika matembezi ya Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)[Picha na Ikulu.]

Miongoni mwa Vikundi vya Mazoezi  hapa Mjini Unguja nacho kikionesha manjonjo ya aina ya mazoezi mbele ya mgeni rasmi   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa   lililofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguj,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.