MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, January 7, 2016

Innaa Lillaahi Wainnaa ilayhi r Raajiuun Mwamuzi Mkongwe, Juma Ali (David) ametangulia mbele ya haki

Innaa Lillaahi Wainaaa ilayhi Raajiuun


MWAMUZI mkongwe mwenye beji ya fifa JUMA ALI (David) amefariki dunia Leo katika hospitali ya Chakechake, 


Juma Ali (David) alikuwa pia Mwenyekiti wa CCM tawi la Wawi, maziko yatafanyika leo Chakechake