Habari za Punde

Kombe la Mapinduzi Cup URA ya Uganda na JKU Timu ya URA imeshinda 3--1.


 Mchezaji wea timu ya JKU mwenye jezi nyekundu akiondoa mpira huku mchezaji wa Timu ya URA akijianda wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup yanafofanyika uwanja wa Amaan Timun ya URA imeshinda 3--1. 






Mshambuliaji wa Timu ya JKU akiweka majaro golini kwa Timu ya URA wakati wa mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mapinduzi Cup mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya URA imeshinda 3--1.  
Kizaa zaa katika goli la timu ya JKU wakati wa mchezo wao na Timu ya URA kutoka Uganda. Kombe la Mapinduzi Cup.
Mshambuliaji wa timu ya URA akimpita beki wa timu ya JKU wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup michuano inayofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya URA kutoka Uganda imeshinda 3--1. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.